×

VIDEO: MWIJAKU Amvaa MO DEWJI – “Katukwaza, Angekaa KIMYA, Bora YANGA”


Muigizaji maarufu ambaye pia ni shabiki wa Simba, Mwijaku, amezungumzia uamuzi wa muwekezaji mkuu wa Simba, Mohamed Dewji, wa kutangaza kujiuzulu kwenye nafasi yake ya uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba.

Leave a Comment