Usiku wa kuamkia leo Mimi Mars alizindua wimbo mpya, Mars akiongea na Global TV Online amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake ya kimahusiano huku akitanabiasha wazi kuwa anatamani sana ndoa.