
Benpol amekuwa ni miongoni mwa mastaa waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kipindi cha mtangazaji, Salama Jabir. Ben amepiga stori na Global TV Online na kuzungumzia mambo kadhaa kuhusu muziki wake na maisha yake na mpenzi wake Anerlisa baada ya tetesi kusambaa kuwa wameachna na mdada huyo amerejea kwao Kenya.