×

Gigy Amvaa Tena Diva “Uolewe Mil 500 Una Nini?” – Video

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gigy Money, amepiga stori na Global TV na kuzungumza bata lake na mpenzi wake walilokula Dubai ambalo lilizua gumzo mitandaoni watu wakimwambia Gigy kuwa anamaliza hela zake kwa mwanaume huyo.

Leave a Comment