Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, limewanasa watu wapatao sita kwa tuhuma za kufanya biashara haramu ya utapeli kwa kuwauzia wananchi madini feki.