Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Suleimani Jafo kwa kazi nzuri anayofanya kwa kuboresha miundombinu na masuala mbalimbali ya afya na elimu.
Selasini amesema kuwa yeye haoni haya kuiunga mkono Ilani ya CCM kwani inatekeleza kwa umakini ahadi ilizoahidi wananchi.
