MIILI ya watu 20 waliofariki kwa ajali ya kukanyagana juzi Jumamosi, Februari 1, 2020 katika Uwanja wa Majengo Moshi mkoani Kilimanjaro imetolewa katika Hospitali ya Mawenzi mkoani humo ilipokuwa imehifadhiwa na kupelekwa katika Uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya kuagwa kabla ya maziko.
Watu hao walipoteza maisha kwenye vurugu wakati wakikimbilia kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la dini la Mtume Boniface Mwamposa.
Endelea kuwa nasi tutakuletea matukio yote.



