×

Alichokisema Membe Baada ya Kuhojiwa -Video

WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania, Bernard Membe amehojiwa kwa saa tano na kamati ya maadili ya CCM mjini Dodoma, kubainisha kuwa mahojiano hayo yamemuacha na furaha ya ajabu.

Leave a Comment