×

Gwajima Kuhusu Mwamposa: Hata Maka Wanakufa – Video

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Dkt. Josephat Gwajima amezungumzia tukio la watu 20 kufariki dunia Jumamosi iliyopita mjini Moshi wakati wa kugombania kukanyaga mafuta katika Kongamano la Mtume Boniface Mwamposa.

 

Akizungumza na Global TV Online, Askofu Gwajima ametoa pole kwa wafiwa huku akitoa ushauri wa kutokulaumiana kwa kile kilichotokea badala yake iangaliwe namna bora ya kukinga maafa kama hayo yasitokee tena.

ALICHOKISEMA, TAZAMA HAPA

Leave a Comment