Baada ya mwishoni mwa mwaka jana kunaswa kwa wizi wa watoto wawili Jijini Mbeya. Hawa Ally (40) Mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, amezua kioja cha aina yake mahakamani baada ya kusema alipewa watoto aliyowaiba na kunguru.