Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi nchini Dkt. Bashiru ametoa onyo kwa viongozi wa chama mkoa wa Arusha kufuata utaratibu wa kuwasilisha malalamiko au hoja walizonazo na kuacha mara moja tabia ya kupitisha vikaratasi.