×

Video: Kongamano La Uwekezaji Lango Kuu La Sadc


Mkoa wa Songwe ambapo ndio Lango kuu la SADC limeandaa kongamano maalumu kwaajili ya uwekezaji ambapo wawekezaji wanapata fursa ya kuwekeza katika Viwanda vikubwa, vya kati na vidogo.

Leave a Comment