MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufunuo, Askofu Paul bendera amemwangushia maombi mazito Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wote wa serikali.