Mkurugenzi wa Makampuni Global Group, Eric Shigongo, amepata heshima ya kuwa mgeni rasmi Kwenye mdahalo uliofanyika Shule ya Sekondari Shaban Robert ambapo wanafunzi wa shule hiyo wamechuana na wanafunzi wa sekondari wa shule ya wavulana Kibaha.
Katika Mdahalo huo, Kibaha, wameibuka washindi, ambapo kutokana na ushindi huo, Mkurugenzi Shigongo, ametoa Shilingi Milioni Moja, kama Pongezi kwa washindi na shilingi Laki 5, kwa Shaban Robert.
