×

Mkurugenzi mkuu wa SBL ashiriki mbio za Kilomita 21 Kili Half Marathon 2020 mjini Moshi

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Mark Ocitti akikimbia na kufanikiwa kumaliza mbio za kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi leo. Tukutane Chui finishing line.

Leave a Comment