RAIS John Magufuli leo Machi 3, 2020 amekutana na mwanasiasa mkongwe ambaye ni mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu jijini Dar es Salaam.