Bibi Yamkuta, Asota Rumande Kwa Kuuza Kiwanja Chake – Video
Global Publishers March 6, 2020 4,646 views 0 Comments
SHARE THIS:
Bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Mwanahamisi Rashid Kisome, mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani amewekwa Rumande siku tatu kwa kuuza kiwanja chake mwenyewe.