Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert, kaja kwa kishindo kingine, baada ya kuachia wimbo Mkali wa ‘Tembea’ Mwishoni mwa mwaka Jana, Mwaka huu mpya wa 2020 amekuletea wimbo mpya kabisa uitwao Vilevile.
Wimbo huo amewashirikisha waimbaji kutoka Kenya Guardian Angel, Levixone na Gaby Kamanzi.
