MKURUGENZI wa kampuni ya Benchmark Production, inayoendesha shindano la Bongo Star Search (BSS) Everlyne Byaruhangwa, Machi 6, 2020, jana alikabidhi kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), ikiwa ni moja ya michango yao katika mapambano ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Mwakililishi kutoka kampuni ya Star Times (katikati) akieleza machache alipokuwa ofisi ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) jana. Kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania, Leonard Mabondo, na kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production, Everlyne Byaruhangwa, ambaye alikabidhi kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa (TACAIDS), ikiwa ni moja ya michango yao katika mapambano ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya ukimwi. Mabondo akizungumza kwenye hafla hiyo. Byaruhangwa akikabidhi Sh. 500,000 kwa Mabondo.…Akitoa shukurani kwenye hafla hiyo fupi.