×

Diamond Apewa Zawadi ya FIFA – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, jana Ijumaa, Machi 6, 2020, alipewa zawadi ya jezi namba 9 yenye jina la Platnumz na Katibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Fatma Samoura, baada ya kutembelea makumbusho ya shirikisho hilo jijini Geneva, Uswizi.

Pia mwanamuziki huyo maarufu alipewa mpira wenye jina lake na kusainiwa na kiongozi huyo wa FIFA.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Wasafi Classic Brothers..! (@wcb_wasafi) on

Leave a Comment