Kuelekea Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga mashabiki wa timu hizo kutoka kariakoo wametambiana huku kila upande ukitamba kuondoka na pointi tatu siku ya jumapili.