
Shirika la Uhifadhi wa Manzingira Duniani (WWF) katika kusherehekea siku ya mazingira duniani jana Machi 6, 2020 waliungana na wadau wengine na kupanda miti mia moja pamoja na kujitolea damu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ya Mloganzila. WWF katika kufurahia na wanawake waliojifungua kwenye hospitali hiyo na kuwapa zawadi mbalimbali.




HABARI: NEEMA ADRIAN | PICHA: RICHARD BUKOS/GPL