×

Sherehe za Yanga Zasababisha Majeruhi Watatu

Mganga wa zamu katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru aliyefahamika kwa jina moja Kayombo amethibitisha kupokea majeruhi watatu waliopata ajali iliyotokea majira ya jioni baada ya mashabiki wa klabu ya Yanga SC kufunga barabara wakisheherekea ushindi wa bao moja dhiidi ya Simba SC.

Kwa mujibu wa Kayombo, majeruhi wamepatiwa tiba ya kwanza na wamelazwa katika hospitali hiyo kwa uangalizi zaidi.

 

Leave a Comment