Yapata miezi tisa sasa tangu Muigizaji maarufu nchini, Bi Hindu aanze kusumbuliwa na ugonjwa wa goita pamoja na mifupa kusagika katika bega lake la mkono wa kulia. Global TV Online imefanya mazungumzo na mkongwe huyo wa filamu nchini, na hapa anaeleza hali yake.
