Breaking: Mwakinyo Aahirisha Pambano Lake Kisa Corona – Video
Global Publishers March 17, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo ameahirisha Pambano lake dhidi ya Bondia wa Ujerumani Jack Culcay ambalo lilitarajiwa kufanyika Machi 21, 2020 nchini Ujerumani kwa hofu ya virusi vya Corona.