×

Agizo Hili la JPM na Majaliwa Halijatekelezwa – Video

Mfanyabiashara anayetambulika zaidi kwa jina la Babu Rama, ambaye alidai kuingia katika mgogoro na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) baada ya mizigo yake kung’ang’aniwa na baadhi ya maofisa wa Mamlaka hiyo kwa miaka mitatu, ameibua mapya.

Mgogoro huo ulimfikia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akautolea maamuzi lakini baadaye ukatua kwa Rais Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho.
Je, maamuzi hayo yametekelezwa?

Anadai amepoteza pesa zaidi ya Tsh milioni 800, amempoteza dada yake aliyekuwa akisimamia duka hilo pia mkewe amepatwa na tatizo la akili, yote haya ni kutokana na sekeseke hilo.

Story kamili ingia YouTube ya #GlobalTVOnline utazame mwanzo hadi mwisho ilivyokuwa!

PART 1

PART 2

Leave a Comment