×

Mpelelezi Aeleza Walivyokimbizana na Ng’ombe Wabeba Magendo – Video

Baada ya uzinduzi wa Bandari ya Mbweni, Dar, Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kipolisi ya Kawe, Mrakibu Dkt. Ezekiel Kyogo aeleza walivyokuwa wakikimbizana na ng’ombe wabeba mizigo ya magendo katika bandari bubu zilizokuwa pwani hiyo.

 

Kyogo amesema baada ya uzinduzi wa bandari ya Mbweni hiyo sasa wafanyabiashara watafanya mambo yao kiuhuru na kuongeza fursa kwa wananchi mbalimbali wakiwemo mama lishe, makuli na wadau wengine.

 

Leave a Comment