Mchezaji raia Burundi ambaye anakipiga katika klabu ya Simba Queens, Mariam Bukulu amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka mambo mengi ikiwemo Mwanaume ambaye anamuhitaji endapo ataingia katika ndoa huku akieleza athari za wachezaji kukaa mapumziko ya siku 30 kutokana na maambukizi ya Ugonjwa wa Corona.