Global Publishers March 29, 2020 2 views 0 Comments
SHARE THIS:
Soko la Samunge Jijini Arusha limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020 chanzo cha moto huo hakijajulikana watu wengi wamejitokeza kushuhudia hasara ya iliyosababishwa na moto huo hali iliyo lazimu jeshi la polisi kuwatawanaya.