Kigogo ACT Ajiondoa “Zitto Kabwe Hafai Kuwa Rais” – Video
Global Publishers April 1, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Yeremia Kulwa Maganja, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, kwa kile alichodai haungi mkono baadhi ya mambo ndani ya chama.