×

Exclusive: Metacha Afunguka Kufukuzwa Azam “Niliitwa na Kocha Simba”


METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya ajiunge ndani ya Yanga ni ushindani wa namba uliokuwa ndani ya kikosi cha Azam FC.

Mnata alisajiliwa na Yanga ambapo alikuwa anakipiga Mbao FC kwa mkopo akitokea Azam FC ambao ndio walikuwa mabosi zake.

Leave a Comment