×

Championi Baba Lao, Lazidi Kutikisa na Ndinga Mpya!

Msomaji wa Gazeti la Championi akilionesha baada ya kujaza kuponi yake ya kushiriki shinda gari.
Msomaji wa Gazeti la Championi akilisoma.
Mdau mwingine wa Championi akisoma gazeti lake kabla ya kujaza kuponi ya bahati nasibu.
Msomaji wa Championi akihakikisha anapata uhondo kutoka katika gazeti hilo.

 

Mwanamama akionesha kuponi yake baada ya kuijaza ili kuingia katika bahati nasibu ya shinda gari.
Ofisa masoko wa Global Publishers, Songoro Bilal (kushoto) akipozi na mmoja wa wasomaji wa magazeti ya Championi baada ya kujaza kuponi yake.

Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine  wameendelea  kujaza kuponi kwa ajili ya kushiriki droo ya Bahati nasibu ya Shinda gari  inayojulikana kwa  jina la ‘Chomoka na Gari Mpya’ ambapo mshiriki anaponunua magazeti   yanayochapishwa na Kampuni ya Global Publishers tayari anakutana na kuponi  kwa ajili ya kujaza na kushiriki.

 

Nikawaida ya maofisa masoko wa Publishers kutembelea maeneo mbalimbali ili kuendelea kutoa hamasa na elimu juu ya namna ya kushiriki bahati nasibu hiyo.  Mwisho mwa promosheni hiyo mshindi atanyakua ndinga mpya aina ya FunCargo.

 

Akikazia maneno yake Ofisa Masoko wa Global Publishers, Anthony Adam,  amewahakikishia  wananchi  kununua kwa wingi magazeti ya Championi na Spoti Xtra ili waweze kuwa miongoni mwa washindi wataoinyakua ndinga ikiwa ni pamoja na zawadi ndogondogo ambazo zinatolewa kili mwisho wa wiki.

 

‘Niwasihi wasomaji wa magazeti yetu  muendelee kushiriki bahati nasibu hii ili muwe miongoni mwa washindi, tutatoa gari mpya siku ya mwisho ya droo na kabla ya droo kubwa wapo ambao kila wiki watakuwa wanajinyakulia simu mpya za kijanja, Smart Kitochi, ambazo ndani yake kutakuwa na bando la bure na APP ya Global Radio.

 

JINSI YA KUTUMA:

Mpe kuponi yako muuza magazeti aliye karibu nawe popote ulipo, au peleka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza-Mori, Dar, au tuma kwa njia ya barua, Jishindie GariGlobal PublishersS.L.P 7534, Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi, piga simu no: 0717 020792 au 0672 324759.

 

MASHARTI YA KUSHIRIKI:

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd na watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kushiriki bahati nasibu hii.

 

Kuponi zitumwe kutoka nakala halisi ya gazeti, vivuli (fotokopi) haviruhusiwi. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi kadiri awezavyo ili ajiongezee nafasi ya kushinda. Kuponi zote zitachezeshwa kwenye droo ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.

 

 

Leave a Comment