MBUNGE wa Geita, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amekamata vijana wanaodai kuwa wametumwa kuja kupuliza dawa ya kujikinga na Corona katika stendi ya Kamanga mkoani Mwanza.