×

Part 3: Agizo La JPM Kwa Mfanyabiashara Mwenye Mgogoro Na TRA Limefikia Hapa – VIDEO


GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo.

Leave a Comment