Corona: TFF Wasitisha Mikutano ya LIVE na Wanahabari
Global Publishers April 14, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetangaza kusitisha mikutano na mahojiano ya moja kwa moja na waandiishi wa habari ikiwa ni hatua nyingine tena ya taasisi hiyo katika harakati za kupambana na ugonjwa wa Corona.