×

Marufuku ya Usafiri Kisa Corona, Mgonjwa Akiwahishwa Hospitali

MWANAMME mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda.

 

Mwanamke huyo mgonjwa hakuweza kupata Bodaboda au usafiri mwingine kufuatia usafiri wa umma kupigwa marufuku na Rais Museveni ili kuzuia corona kusambaa.

Credit | Picha: Daily Monitor

Leave a Comment