×

Rais JPM Awalilia 18 Waliofariki kwa Ajali Kibiti

RAIS John Magufuli ametuma salam za rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa watu takribani 18 waliopoteza maisha katika ajali ya iliyotokea leo Aprili 15, 2020, saa 12:55 asubuhi katika Kijiji cha Kilimahewa-Kaskazini, Kibiti – Mkuranga, Pwani baada ya basi la abiria aina ya Toyota Coaster kugongana uso kwa uso na lori aina ya Mitsubishi Rosa.

Leave a Comment