Ndugai: Wabunge Mnaonekana Baa na Corona Hii Muambiweje? – Video Global Publishers April 16, 2020 0 Comments SHARE THIS: SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameiomba serikali kutolea matamko kuhusu Corona Bungeni jijini Dodoma. Aidha, Spika Ndugai amewataka wabunge kuacha tabia ya kwenda baa na Club katika kipindi hiki cha Corona. SHARE THIS: