×

Vodacom Tanzania Foundation Yachangia Shilingi Billion 2 kusaidia Juhudi za Serikali Kupambana na COVID – 19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia) akiteta jambo na viongozi hao.
Wakiwa katika picha kabla ya kukabidhi hundi hiyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa nne toka kulia) akitoa neno la shukrani..

 Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akizungumza wakati wa makabidhiano ya hundi yenye thamani ya Shilingi bilioni 2 leo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh Ummy Mwalimu (Wa tatu toka kushoto). Wengine ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Tanzania PLC, Magreth Ikongo ( Wapili kulia),Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC na Vodacom Foundation,  , Rosalynn Mworia (Wa pili kushoto) na Meneja wa Mawasiliano wa Vodacom, Alex Bitekeye .

Leave a Comment