Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ameeleza Kusitikishwa na Kifo cha Jaji Mstaafu Augustino Ramadhan, Amesema atakumbukwa kwa utumishi uliotukuka kwa Nchi Yake, ulioshadidiwa na umahili wake, ukweli, uchapakazi, Uzalendo wa kweli, na Ucha Mungu.

