Kwa wanafunzi wote, katika kipindi hiki cha janga la corona, endelea kujiandaa na miyihani yako kupitia #GlobalTVOnline.
Walimu mahiri waliobobea katika taaluma ya ufundishaji na kuteuliwa na Taasisi ya Elimu,watakufundisha masomo yote ukiwa hapo hapo nyumbani.
Subscribe GlobalTVonline sasa uanze kupata shule.
