×

Niyonzima Aoa Kimyakimya Mke Wa Pili

KIUNGO wa klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima,  ameoa mke wa pili aitwaye Niyonkuru Console ‘Cassandra Rayan’. Ndoa hiyo imefungwa  bila chereko zozote jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Nahodha Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul Mnyamani ndiye alikuwa best man wakati ndoa ikifungwa.

Leave a Comment