PM Majaliwa Agawa Abulance 50 kwa Wabunge – Pichaz
Global Publishers April 29, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) wakifurahia wakati Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta (kulia) alikionyesha ufunguo wa gari la kubebea wagonjwa baada ya kukabidhiwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Jumatatno, Aprili 29, 2020 amewakabidhi wabunge magari 50 ya kubebea wagonjwa yenye thamani ya shilingi bilioni 6.
Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto (kulia) wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge.
Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge.
Waziri Mkuu, Kassim Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge.