×

Tanzia: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Vunjo Afariki Dunia

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Aloyce Kimaro,  amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Kimaro alizaliwa Juni 24, 1953.

Leave a Comment