×

Video: Mwili wa Waziri Mahiga Waagwa Iringa Leo

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, leo Mei 2, 2020, ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki dunia jana Mei 1, 2020. Dkt. Mahiga mwanadiplomasia mkongwe aliyeitumikia nchi kwa weledi, atazikwa alasiri Tosamaganga, Iringa.

Leave a Comment