Global Publishers May 7, 2020 4,560 views 0 Comments
SHARE THIS:
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki dunia leo Alhamisi, Mei 7, 2020 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu.