Nabii na Askofu wa Kanisa la Ufunuo Tanzania, Paul Bendera, kupitia kipindi cha SOUL FOOD leo Mei 10, amezungumza na kumtia moyo Rais Magufuli kwenye kipindi hiki cha mapambano dhidi ya Corona.