Mkurugenzi wa lebo ya WCB Wasafi Diamond Platnumz akiwa na wasanii wake Rayvanny, Mbosso, Lava Lava, Queen Darleen & Zuchu usiku wa kuamkia leo Mei 23, 2020 wameachia video ya Quarantine.