Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 3, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar, Dkt.Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.