×

Rais Magufuli Akutana Na Rais Dkt Shein Dodoma -Video

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

RAIS Dkt John Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM, Juni 10, 2020 amekutana na kufanya mazungumzo na makamu mwenyekiti wa chama hicho ambaye ni Rais wa baraza la mapinduzi Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein.

Leave a Comment